?

Log in

Mon, Nov. 20th, 2006, 10:40 pm
mooglepower: (no subject)

Habari gani? Jina langu ni Ian. Mimi mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Kiswahili. Nasoma Chuo Kikuu cha California, Los Angeles. Napenda kuimba, kusema Kiswahili, kuandika muziki, kucheza michezo ya video, na kuandika programu ya kompyuta.

Wed, Oct. 25th, 2006, 08:24 pm
chordoflife: (no subject)

Hi, I need help!

I am in DESPERATE need of people in their 20's who have hands-on experience with HIV-AIDS in Africa. It's for an article I am writing on young people working in Africa to fight AIDS.

Please email me at Osmun79@yahoo.com and I will email you the questions!

Asante Sana everyone!

Sun, Oct. 8th, 2006, 10:45 pm
militantgoat: (no subject)

haya, hapo chini kuna vitendawili. Vinanifurahisha sana na matumaini yangu ni kwamba mtavipenda pia! Kitu kingine cha kuwaambia, mimi mwenyewe sijua majibu! Pengine mtaweza kuvitafsiri na pia kutuambia mnafikiri majibu ni yupi.....

so here's a few riddles for you, just because they're fun and just because its Sunday evening. By the way, i don't know the answers! Perhaps people could post with their various translations of them and possible answers.....

vitendawili? tega!
vitendawili? tega!!


1. Nyumba yangu haina mlango

2. Nina watoto wangu ambao daima wanafukuzana lakini hawakamatani

3. Ninapompiga mwanangu hucheza

4. Nina saa ambayo haijapata kusimama tangu kutiwa ufunguo

5. Nzi hatui juu ya damu ya simba

6. Mzazi ana miguu bali mzaliwa hanayo

7. Nimewafugia wanangu milango wakati wanapopigana

8. Mti umeangukia huko mbali, bali matawi yake yamefika hadi hapa.

9. Po pote ninapoenda ananifuata

10. Daima yupo njiani anakwenda, bali bado hajafika mwisho wa safari yake.

Wed, Oct. 4th, 2006, 01:20 pm
militantgoat: makala ya gazeti -newspaper article

Zao la karafuu Unguja

Karafuu ni miongoni mwa zao muhimu la Tanzania. Karafuu ni zao linalotokana na mkarafuu. Ingawa karafuu hazimo katika kundi la vyakula wala vinwaji ni kiungo muhimu sana. Karafuu zina matumizi kadhaa, baadhi yake ni kule kuchapuza sigara, kutumika katika upishi, utengenezaji wa madawa fulani ya meno na pia mafuta yake hutumika kwa kuchua mishipa. Tukitaka kujua chanzo na asili ya mti huu unaozaa karafuu, itatubidi turudi nyuma sana. Kama tutapekuwa vitabu vya Kichina, bila ya shaka vile vyenye kuhusika na taalum ya miti na mimea, hasa, vile vilivyoandikwa kati ya mwaka 220 na 206 kabla ya kuzaliwa Kristo, tutaweza kuona kuwa mti huo uliweza kuota na kustawi huko Moluccas. Kutoka huko miche ya mikarafuu ilikwenda kupandwa kwenye koloni za Sychelles na Elbe de France, Mauritius. Swali nakujiuliza ni hili - hii mikarafuu miti ambayo hutoa asilimia 90 ya iktisadi ya Zanzibar ilifikaje visiwani Unguka na Pemba?

maneno muhimu;
karafuu - clove(s)
zao(ma) - crop
kiungo(vi) - spice(s)
kuchapuza -
kuchua - to massage
kupekuwa - to examine
kustawi - to prosper
mche(mi) shoots of a plant, seedlings
iktisadi - economy

Sun, Oct. 1st, 2006, 02:50 pm
soapdemon: (no subject)

Hamjambo. Jina langu Elizabeth, ni mwanafunzi wa Kiswahili. Sijajifunza Kiswahili kwa wakati mrefu, kwa hivyo samehani makosa yangu.
Nina swali juu ya Biblia.
Mfasiri wa insha yangu ya Biblia alitafsiri 'and the spirit of God moved over the face of the waters' kama 'roho wa Mwenyiezi Mngu akatulia juu ya uso wa hayo maji.'
Je, anaweza kusema 'uso wa maji' katika Kiswahili?

Sat, Sep. 30th, 2006, 05:44 pm
militantgoat: mshairi - poem

Nilifikiri mgependa kusoma mshairi hili, hasa kwa sabau linajihusisha na lugha ya Kiswahili.

I thought you all might light to read this poem, especially since it's about Kiswahili.

Kiswahili

Titi la mama litamu, hata likiwa
la mbwa,
Kiswahili naazimu, sifayo
iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu, niimbe
ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika
palipozibwa,
Titile mama litamu, jingine halishi
hamu.

Lugh yangu ya utoto, hata sasa
nimekua,
Tangu ulimi mzito, sasa kusema
najua,
Ni sawa na manukato, moyoni
mwangu na pua,
Pori, bahari na mto, napita
nikitumia,
titilie mama litamu, jingine halishi
hamu.

a rough translation of it's meaning is;

Kiswahili

the mother's breast is sweetest, even that
of a dog,
Swahili i adore you, i want to uncover your fame
which was hidden
For those who do not understand you, i will sing
of your merits
coming from something which is adored, covering what has been
filled up
the mother's breast is sweetest, no other will satisfy
hunger.

My language since childhood, even until now when
i am grown,
Since when my tongue was heavy, now i know
how to talk,
It's like a perfume, in my heart and
in my nose,
forest, sea and river, i pass as am
using it
the mother's breast is sweetest, no other will satisfy
hunger.

Tue, Sep. 26th, 2006, 02:15 pm
andika: I swear, all of this is true

Sasa? I'm sure that a lot of you are interested in Kiswahili not purely linguistically, but because of interest in the travel and culture/politics or such of East Africa. So for the amusement of other Kenyans, or more polite Tanzanians, or non-East Africans who might venture to Kenya and want to know something about how people really speak English/Swa there, I thought I'd pass this on:

A Kenyans Guide To Kenya, Vol. I

I've often been terribly disappointed by the tourist guidebooks written
about Kenya. Most of the time they tell you stuff you already know, like
"you can go on safari and see some lions." That's probably why you
wanted to come here in the first place, so that's not helpful. Other
times they give you all manner of useless information. For example:
what's the point of telling you how to ask for directions in Kiswahili
if you're not going to understand the answer? (Sometimes they seem to be
written by a malicious Kenyan who hates tourists. One time I was lying
on the beach and was accosted by an earnest American who said, "Jambo.
Nyinyi muna kula viazi?" First of all, no Kenyan says "Jambo." Secondly,
I was lying on the beach, I was alone and I definitely wasn't eating
potatoes.)

These books never tell you about all the amazing people you can meet in
Kenya, or how to understand what they're saying. Determined to correct
this horrible wrong, I'm issuing the first of many useful, practical
tips for our many visitors. Herewith Volume I of "A Kenyan's guide to
Kenya." (Disclaimer: this is written from a Nairobi perspective. Other
parts of the country are a whole other story and will cost you extra.)

Here's what you should know:

When we want you to pass us something - the salt, say - we'll point with
our mouths. Example: We'll catch your eye then say, "Nani." Then we'll
use our mouths to point at the desired object. This is achieved by a
slight upward nod followed by an abrupt thrusting out of the lower lip,
which is pointed in the object's general direction. There's no
explanation for this. ("Nani" can be roughly translated as, oh I don't
know, "Whats-your-face," "You," or "Thingie." We're unfailingly polite.)

Read more...Collapse )

p.s., I didn't write this and don't know who did.

Sun, Sep. 24th, 2006, 10:23 am
amalthya: Pluralization As a Form of Humor

I'm doing homework, Swahili homework to be specific, studying the plural forms of demonstratives and this makes me laugh:

Huu ni mwili wake – This is her body.
Hii ni mili yake – These are her bodies.


... how different the meaning can be when it's pluralized!!

hehe.

Or... I could just be a huge dork.

Thu, Sep. 21st, 2006, 11:41 pm
militantgoat: greetings in kiswahili

perhaps people are sick and tired of learning greetings but since it is such an important part of Kiswahili and it seems like a good place to start for those new to Kiswahili i thought i'd do a little piece about greetings here.

along the coast(Uswahilini) people tend to use the Muslim greeting of asalaam alaikum to which the response is walaikum salaam. This is what i'd use when i first go into a shop or get onto a bus or first see people.

This can be followed by the appropriate greeting for the time of day:

habari za asubuhi? - for the morning
habari za mchana? - for the afternoon
habari za jioni? - for the evening

habari gani? - is a general greeting used a lot to ask how the day is in general
habari za leo? - general greeting asking how the day is .


the answer to all of the above would be nzuri

then there are the personal greetings;

hujambo? - how are you
to which the response is sijambo - i'm fine

hamjambo? - how are you (all)? (plural asked to a group)
to which the response is hatujambo - we're fine

there may seem like a lot but they're really useful and first impressions make a big difference.

Mon, Sep. 18th, 2006, 11:23 pm
militantgoat: (no subject)

Leo nitaanza mpango wangu wa kukipa chama hiki maisha mapya. Nitaanza kwa njia ya kunitambulisha. Hii itakuwa kwa kiwango cha katikati. mulizeni maswali yo yote.

Jina langu ni militantgoat. Nimezaliwa mwaka 1983 lakini mpaka leo mimi sina kaka sina dada. Niliishi kijiji cha Sheffield, hapa Uingerza miaka mingi lakini sasa niko London kwa ajili ya masomo. Ninasoma Kiswahili na sheria. Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha London, SOAS(School of Oriental and African studies yaani shule ya masomo ya kiafrika na kiasia). Mwaka ujao utakuwa mwaka wangu wa mwisho. Sijajua nitafanya nini baada ya mwaka huo lakini nina mipango wengi! Mwaka uliopita nilienda Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda. Nilifarahi kuona watu wengi walioongea Kiswahili, watu kibao! Nilisikitika sana nilipohitaji kurudi Uingereza, nitarudi lini?

watu kibao = watu wengi (siyo lugha rasmi, yaani simu au slang)

So this is this is your dose of Kiswahili for the day. I reckon it's of an intermediate/high level so bear that in mind (corrections are also welcome/expected, i'm still just learning too!) Please ask any questions you have at all. Anything about agreements, vocabulary, word structures, what on earth i'm rabbiting on about, anything. Next posting will be more of a foundation level one.

badaaye!

skipped back 10