?

Log in

Sun, Feb. 22nd, 2009, 08:50 pm
feodora: Mtoto wa ubatizo

Nina moja mtoto wa ubitatizo tangu Januari mwaka huu. Jina lake ni Mora ana miaka tatu. Ana kukaa kwa Daressalaam. Nili kuwana kuandika barua moja. Ninangoja jibu sasa.