?

Log in

Mon, Nov. 20th, 2006, 10:40 pm
mooglepower:

Habari gani? Jina langu ni Ian. Mimi mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Kiswahili. Nasoma Chuo Kikuu cha California, Los Angeles. Napenda kuimba, kusema Kiswahili, kuandika muziki, kucheza michezo ya video, na kuandika programu ya kompyuta.

Tue, Nov. 21st, 2006 11:43 am (UTC)
andartha: Mzuri ^_^

Habari yako?

*laughs*

I'm afraid what little Swahili I had has gotten a bit rusty in the last couple of months, but anyway Karibu tena!

Tue, Nov. 21st, 2006 06:09 pm (UTC)
mooglepower: Re: Mzuri ^_^

*cheka* Asante sana! :-)

Tue, Nov. 21st, 2006 12:56 pm (UTC)
harambee78

Karibu. Mwalimu wako ni nani chuoni?

Tue, Nov. 21st, 2006 03:35 pm (UTC)
mooglepower

Jina lake ni Zuhura, lakini jina lake la Kiingereza ni Professor Thompson.

Tue, Nov. 21st, 2006 07:02 pm (UTC)
andika

Karibu sana, Ian,

Kwa nini umeamua kujifunza kiswahili? Sasa umeshajifunza kwa miaka miwili - unafikiri/umegundua kwamba kiswahili ni lugha rahisi (au ngumu)?

Unataka kusafiri Afrika ya mashariki? Kama utaenda pale, nafikiri utafurahia sana :)

Wed, Nov. 22nd, 2006 12:18 pm (UTC)
(Anonymous): Kuandika programu za kompyuta

Habari zako, Ian. Nilisoma shajara yako, na nikaona kwamba unapenda kuandika programu za kompyuta. Ukiwa na nafasi kujitolea kidogo, twaomba msaada kwenye programu yetu ya kuonyesha picha katika Kamusi Hai. Angalia hapa: research.yale.edu/swahili/serve_pages/slideshow.htm .

Je, utaweza kutusaidia? Niandikie - anwani yangu ni swahili katika yale nukta edu .

Asante,
MB

Sat, Nov. 25th, 2006 11:46 pm (UTC)
matonya: Re: Kuandika programu za kompyuta

Habari Ian na wote wapenzi wa Kiswahili. Natumaini nyote mlisherehekea vema sikukuu ya shukrani na familia zenu. Ninayo furaha kuweza kuwasiliana nanyi kwa njia hii rahisi ya mtandao. Mimi ni mtanzania anyeishi huku Marekani. Napenda kumkaribisha yeyote yule anayependa kuuliza, kujifunza au hata tu kuongea Kiswahili au juu ya Kiswahili.

Usiku mwema.

Sun, Nov. 26th, 2006 07:01 pm (UTC)
matonya: Ibada ya Jumapili

Leo ni Jumapili na ninahitaji kuhudhuria misa kanisani. lakini kwa kweli najisikia kuchoka na naona kama najilazimisha kwenda kusali kanisani. Kama nikienda kwa kujilazimisha, eti kwakuwa tu ni Jumapli, naelewa sitaweza kushiriki vema katika ibada na hivyo kwenda kwangu kanisani hakutakuwa na maana yeyote. Nitajaribu kutafakari juu ya ibada kabla sijaamua kwenda au kutokwenda. Pia tafakari hiyo itanisaidia kutofanya kazi za nyumbani kwaajili ya darasa. Sijisikii kusoma wala kuandika.

Mon, Apr. 21st, 2008 06:00 pm (UTC)
(Anonymous): Essay on Methali and Vitendawili

can any one get my 5 vitendawilis (riddles) and their answers and significance in todays world
if u can plz mail it to ally_chizi@hotmail.com

Thu, Aug. 14th, 2008 08:55 am (UTC)
africulture: Habari yako

Aha mambo vipi safi sana